KweliiiDepawiseey stop cheating! 🤣
Kwa dakika hizi za mwanzo naona kama England atakutana na ugumuHii mechi mnaionaje wakulungwa, England wamepata mteremko mwingine ama?
Kwa hiyo kila England ikicheza ni mteremko. Endelea kusema hivi mpaka siku tunanyanyua makwapa.Hii mechi mnaionaje wakulungwa, England wamepata mteremko mwingine ama?
Ecuador ndio kaonesha ubabe, hapaswi kudharauliwaMnamu underrate sana Senegal
Foden namkubali sana,kijana makiniMadam, wewe kaa hapo. Chukua maji makubwa endelea kushushia. Uenjoy futboli.
HatariiiiiiFoden namkubali sana,kijana makini
Ana shepuuuu
mwenye link tafadhari
Kitaqo amazing 😝Ana shepuuuu
Si juzi hapo alikuwa anafanya mawasiliano na timu kwa njia ya simuHivi Biden anaangalia kweli hii mechi?