Leo kazi sio rahisiHii mechi mnaionaje wakulungwa, England wamepata mteremko mwingine ama?
🤣🤣🤣🤣Huyu Maguire akiwa national team anakuwa mzuri kweli, pale Utd sijui huwa kuna nini tu.
Mpaka ule wa kufunga majani na kuweka kijiti kwenye nywele wanaujua.Heeee uchawi wa kukunja vidole kumbe mpaka uzunguni upoo??
Mchezo ulitiliwa mkazo kwao ni Basket.Dah Marekani sio wale wanaoipiga mikwara dunia nzima kwenye mambo ya kisiasa. Soka halimo kabisa miguuni
Ronaldo asibezwe, kuna tatizo mleHuyu Maguire akiwa national team anakuwa mzuri kweli, pale Utd sijui huwa kuna nini tu.
Utd huwa wanatafuta tu mbuzi wa kafara baada ya kuchapwaHuyu Maguire akiwa national team anakuwa mzuri kweli, pale Utd sijui huwa kuna nini tu.
Ana assist moja, leo napo anaweza kupata assist ya pili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile team ina shida kuliko hata watu wanavyodhani wakiwa nje.Ronaldo asibezwe, kuna tatizo mle
Kwanini msiangalie kupitia SuperSport?Dah ila kuangalia mpira TBC kunataka moyo sana.
Si anajua ana ngoma ngumu na Iran[emoji23]