joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wamwingize Foden sijui wanasubiri nn.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mwenyewe nimeona, hana kesheshe yeyoteHuyu Saka ni machachari tu
Kana ujinga sana.Hata mwenyewe nimeona, hana kesheshe yeyote
Ni machachari asiye na hatari bora walivyo mfanyia sub
Na mi hili naanza kulihisiHii game ni fixed. Nawahakikishia
Mkuu naona umeanza pagawa ss[emoji23].. Uamini unachokiona sioHii game ni fixed. Nawahakikishia
Ndio lazima uwe na chama lako ktk hali zote.Mna roho ngumu
Man U huwa anatufanyia kusudi Kumbe akili zipo bhanaHuyu Maguire huyu ameokoa mashambulizi mengi ya hatari
Na yeyey ndiye mwenye rating kubwa kwenye hiki kikosi mpaka sasa.Nimejua, Magwaya anapewagwa hongo afungishe.
Leo ni mtamu balaa. So far mchezaji pekee aliyecheza vizuri kikosi cha Uingereza.