Hawa Saudi mbona kama wapo serious sana? [emoji23]
Ukiona njano nyingi ujue red ipo karibu [emoji23]Leo refa ni njano tu
Hawa Saudi mbona kama wapo serious sana? [emoji23]
Poland watachezea moto muda siyo mrefu,saudi wapo serious na kazi.
Beki wa kushoto hatari sana.Saudi Arabia wameonesha upendo kwa mchezaji wao ambaye ni majeruhi. Aliumia katika mechi ya Argentina baada ya kugongana na kipa. RESPECT KWAO!View attachment 2428049
Poland sijui wamekuja na Dawa gani...hawajui kuwa sisi Saudi leo tukishinda tuna mapumziko ya week😀😀😀😀Saudi wamelazwa.