Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ya wazi kabisa mkuu. Kwann amtegue mwenzake mguuRefa anabeba kina al habib
Ilikua nyepes sana kiukwlKweli ilikua ya dhulma
Walishaambiwa wachezaji.Hivi Kwanini Kombe La Dunia Tangu lianze Last week Dakika Za Nyongeza Zinakuwa Nyingi sana Wastani wa Dakika 14 za Nyongeza kwa KilaMechi?
Ni utaratibu mpya wa FIFA
Wameona meechi inakuwa inachezwa dakika 40/41/42 kwa kipindi...so wanasimamissha mida kwa matukio mengi sasaHivi Kwanini Kombe La Dunia Tangu lianze Last week Dakika Za Nyongeza Zinakuwa Nyingi sana Wastani wa Dakika 14 za Nyongeza kwa KilaMechi?
Ni utaratibu mpya wa FIFA
Hii safi sana. Wacha boli litembee hatutaki watu wanajigaragaza tafikiria wapo hospitalYan saiv ukipoteza mda unajichosha tu mwnyw.. Hapa zimeongezwa dkk10 kudadeki
🤣🤣🤣Walishaambiwa wachezaji.
Kila unapopoteza muda mzigo pale unasimamishwa.
Na pia muda ule wa majeruhi...sasa hivi ukikaa vibaya..mnawekewa hata 20+