Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hivi Kwanini Kombe La Dunia Tangu lianze Last week Dakika Za Nyongeza Zinakuwa Nyingi sana Wastani wa Dakika 14 za Nyongeza kwa KilaMechi?

Ni utaratibu mpya wa FIFA
Walishaambiwa wachezaji.
Kila unapopoteza muda mzigo pale unasimamishwa.

Na pia muda ule wa majeruhi...sasa hivi ukikaa vibaya..mnawekewa hata 20+
 
Back
Top Bottom