Kabisa,wangekaa tu kimya wakasubri mwisho utavokuaWazee wa Ninga * rolls royce
Nachojua nchi yoyote ikianza ahadi kwa wachezaji huwa hawafiki mbali [emoji23][emoji23]
Aibu sana
Leo penyewe hamkutegemea hili goli la dk 45 za mwanzo...endelea kuotaTulia hwa wanatinga round of 16
Ndo hvo ikabumaNa penati kumbe walipata?
Na vip kuhusu huo muda ambao umeongezwa na wenyewe haukutumika vizuri, imagine zimeongezwa dakika 10,lakini wachezaji wakapoteza tena kwa makusudi dakika 5. Je zitaongezwa zingine 5? Na kuwa jumla 15?Nd
Ndio ndo maagizo ya marefa waliopewa na kiongozi wao Collina
View attachment 2428148
Mkuu world cup hii kuna 'strict time management'
Kila dakika ambayo mpira hauchezwi itaongezwa
Kwa hio mipira ya kurusha..kuchelewa goal kick au corner na kujifanya kuumia zote dakika zake huongezwa ila kuondoa upotezaji wa muda kwenye mpira
Ndo maana unaona dakika zinaongezwa nyingi
Anapoop 🥹View attachment 2428176
Wataalamu tupeni tafsiri
Hajagusa mstariAnapoop 🥹
Mpira kasi mkuu, Allah yupo na Saudia wanarejesha anytime goli full time 1-1 Saudi wanapiga mtafute mtafute mda wowote watachekaView attachment 2428176
Wataalamu tupeni tafsiri
Hostadh Salehe anapiga mwingi sana leo Allah yupo na Saudia Allah-bia, anytime watacheka na wavu, mtafute mtafuteSIKU YA KUFA NYANI MITI YOTE HUTELEZA..Ndo hii sasa
DuhHostadh Salehe anapiga mwingi sana leo Allah yupo na Saudia Allah-bia, anytime watacheka na wavu, mtafute mtafute
Wanapasuliwa wao kwa Kaunta atak wee subili utaona!Hostadh Salehe anapiga mwingi sana leo Allah yupo na Saudia Allah-bia, anytime watacheka na wavu, mtafute mtafute