Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nd

Ndio ndo maagizo ya marefa waliopewa na kiongozi wao Collina

View attachment 2428148

Mkuu world cup hii kuna 'strict time management'

Kila dakika ambayo mpira hauchezwi itaongezwa

Kwa hio mipira ya kurusha..kuchelewa goal kick au corner na kujifanya kuumia zote dakika zake huongezwa ila kuondoa upotezaji wa muda kwenye mpira

Ndo maana unaona dakika zinaongezwa nyingi
Na vip kuhusu huo muda ambao umeongezwa na wenyewe haukutumika vizuri, imagine zimeongezwa dakika 10,lakini wachezaji wakapoteza tena kwa makusudi dakika 5. Je zitaongezwa zingine 5? Na kuwa jumla 15?
 
Sawa KDB
Screenshot_20221126-171837_Facebook.jpg
 
Sultan Alramnam kaingia kuuwasha moto, Allah bado yupo na Saudi Arabia
 
Back
Top Bottom