Hanaga utani na nyavu huyuRoberto Lewandowski unamletea utani Golini...
Ndio anapita kama akishinda mechi hizo mbili zilizobakiIvi kuna uwezekano wowote wa Argentina kupita kwenda kwenye 16 bora atakama akishinda mechi zote ?
Saudia wamelishwa nguruwe plate mbili leo wakalale tu, hakuna watachoambulia wakaendelee kuvaa kanzu tuTatizo wanaoa MITARA viuno havitulizi miguu papara
England kama wabongo tu..., wana mpira wa mdomoni kuliko uwanjani...Labda afanyiwe fair kama jana England alivomfanyia USA
Yan hapa cha msing ss tushinde game ye2 baadae ilo ni la msing kbs.Hahahajaj mwarabu anakimbizwaaaa hadi huruma.
Ametepeta tepe tepeHahahajaj mwarabu anakimbizwaaaa hadi huruma.
Hakuna uwezekano na kwa Mexico hapiti hata kidogo leo lazima alale mbili bila na huo ndio mwisho wake maana ana point 0Ivi kuna uwezekano wowote wa Argentina kupita kwenda kwenye 16 bora atakama akishinda mechi zote ?
Bado ana nafasi lakiniHao Saudia walijiona washachukua kombe kwa kuwashinda Argentina
Ndiyo,mkubwa tu.Ni yeye kushinda mechi zake 2 zilizobakiIvi kuna uwezekano wowote wa Argentina kupita kwenda kwenye 16 bora atakama akishinda mechi zote ?
Walijua kumuonea messi Wangu juzi Leo wamepata dawa yao shenzy hawaAmetepeta tepe tepe