The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Argentina.Ni nani anaejua ni timu gani ambayo itachulua kombe la dunia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Argentina.Ni nani anaejua ni timu gani ambayo itachulua kombe la dunia ?
basi buruuudaniii...Hiki kitakuwa cha jioni maana ndo huwa hakina wenge la usingizi
Anahitaji point 6 yaani ashinde mechi zote 2 zilizobakiIvi kuna uwezekano wowote wa Argentina kupita kwenda kwenye 16 bora atakama akishinda mechi zote ?
Ni ngumu,maana Mexico nao si wa mchezo.Hili group kila team ina nafasi ya kusonga mbele tena inaonekana kuna watagongana points,magoal yataamua.Watashinda tu Allah yupo na Saudi ila leo wamekula nguruwe kilazima daah sahani mbili bila marejesho, wamezembea sana leo
Leo messi anaaga mashindanoWajinga hawa
Watoke draw leoTumaini pekee ni Mexico tu kushinda
Yes walau Argentina wanakua wamepungua kwenye kuwania nafasi za kusonga mbele.Tumaini pekee ni Mexico tu kushinda
Yaan tusubiri tu ila Saudia leo sijui kimewakuta nini yaan, ngoja tuone saa 4 Argentina anavyoenda kutembezewa Moto kwa mara nyingine maana Mexico hawana show Mbovu,Ni ngumu,maana Mexico nao si wa mchezo.Hili group kila team ina nafasi ya kusonga mbele tena inaonekana kuna watagongana points,magoal yataamua.
Wewe itakuwa team Argentina.Watoke draw leo
Game ijayo
Argentina ampige poland
Saud atoke draw au ashinde
Ah wala hamna presha leo mnafungwa tena na denmark maana nyie ndio punching bag kwao🤣🤣🤣🤣Sasa inakuja mechi itakayonipa pressure. Ninatamani nikalale. Mimi team France. Balaa leo.
Mnafungwa msipofungwa niite mkomboziHello team France [emoji632]
Yaani wewe ndo unanimaliza kabisa. Ngonja nikalale tu. Niamke nikute matokeo.Ah wala hamna presha leo mnafungwa tena na denmark maana nyie ndio punching bag kwao🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😁Sasa inakuja mechi itakayonipa pressure. Ninatamani nikalale. Mimi team France. Balaa leo.
Nitarudia tena na hii comment naomba ilindwe na iwekewe ulinzi Moderator hii comment isiletewe figisu hadi kombe la dunia liishe
Bingwa wa kombe la dunia ni FRANCE
Cc:
Zinedine Zidane 'Zizou'
Karim 'Mo Stafa' Benzema
View attachment 2421107
View attachment 2421127
View attachment 2421151
View attachment 2421152View attachment 2421153
View attachment 2421140
View attachment 2421142
Wee mbona unakuwa shabiki maandazi🤣🤣🤣🤣 kaaa hapo ucheki gameYaani wewe ndo unanimaliza kabisa. Ngonja nikalale tu. Niamke nikute matokeo.
Mimi huwa napenda mpira kuangalia ninapokuwa neutral. Ila France wanapocheza huwa naishiwa pozi.Wee mbona unakuwa shabiki maandazi🤣🤣🤣🤣 kaaa hapo ucheki game
Argentina atoke tuWatoke draw leo
Game ijayo
Argentina ampige poland
Saud atoke draw au ashinde