Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Watashinda tu Allah yupo na Saudi ila leo wamekula nguruwe kilazima daah sahani mbili bila marejesho, wamezembea sana leo
Ni ngumu,maana Mexico nao si wa mchezo.Hili group kila team ina nafasi ya kusonga mbele tena inaonekana kuna watagongana points,magoal yataamua.
 
Ni ngumu,maana Mexico nao si wa mchezo.Hili group kila team ina nafasi ya kusonga mbele tena inaonekana kuna watagongana points,magoal yataamua.
Yaan tusubiri tu ila Saudia leo sijui kimewakuta nini yaan, ngoja tuone saa 4 Argentina anavyoenda kutembezewa Moto kwa mara nyingine maana Mexico hawana show Mbovu,
 
Sasa inakuja mechi itakayonipa pressure. Ninatamani nikalale. Mimi team France. Balaa leo.
😁😁😁😁
Nitarudia tena na hii comment naomba ilindwe na iwekewe ulinzi Moderator hii comment isiletewe figisu hadi kombe la dunia liishe

Bingwa wa kombe la dunia ni FRANCE

Cc:
Zinedine Zidane 'Zizou'
Karim 'Mo Stafa' Benzema
View attachment 2421107

View attachment 2421127

View attachment 2421151
View attachment 2421152View attachment 2421153

View attachment 2421140

View attachment 2421142
 
Back
Top Bottom