Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 984
- 1,232
Argentina anafuzu saudi byebyeπ«π· na π¦π· ndo team zangu za Leo...
Leo najua raha watatupatia
Nimekaa pale[emoji632] na [emoji1033] ndo team zangu za Leo...
Leo najua raha watatupatia
Ninua generatorAsante tanesco [emoji57][emoji57]
Sinaga roho ndogo mieUsije ukapotea hapa mrembo
π€£π€£Nimekaa pale
Qpo Denmark nakusaport kabisaaa
Tupo
Kombe tunalitetea hiliSaudi Arabia hata asipofuzu, hatumdai.
Wanangu France sijawahi kuwaacha toka enzi za kina thierry Henry
Dah mechi ya utopolo itapunguza burudani hapa kibanda umiza.
Ningeangalia hii video ila dah
VAR mbona wazungu tupu mule chumbani[emoji23][emoji23
VAR mbona wazungu tupu mule chumbani[emoji23][emoji23]
Kweli kabisa mkuu. Eti mtu hana time kabisa na world cup ila ana time na yanga au simba.Hao watu wa simba na yanga wengi wajinga
[emoji23][emoji23][emoji23]Timu ya waliosoma KLF advance wakitegemea kwenda kupiga Internatiomal Relations pale UDSM iko uwanjani