Sasa wewe ulikuwa kwenye level ya elementary so ilikiwa sawa uanzie chini kama wa chekechea wanapoanziaMi hii lugha nilienda kukutana nayo chuo kisa Ufaransa wanadhamini kile chuo. Unafundishwa kitu ukishika daftari za watoto wa ndugu zako walioko chekechea unakuta nao wanafundishwa hayo hayo. Niliwachukia moja kwa moja wafaransa
Lazima watafunga, itafika muda Denmark wataachia kirahisi tuMbappe Leo anakabwaaaa hadi sio poa
Ila najua wafaransa wajanja sana wana ka style kao ka uchezaji kulingana na hali halisii
..lazima watapata mbinu ya kutoboa tuu
Nakazia hapamwenye link tafadhari
Nilijidharau sana nikaona hawa jamaa lengo lao ni kunidhalilisha. Una sup mambo ya chekechea!ππSasa wewe ulikuwa kwenye level ya elementary so ilikiwa sawa uanzie chini kama wa chekechea wanapoanzia
Teh teh teh teh sijawahi waza kujua kifaransa ila wapo wajuba wanaishi kwakujua lugha kama hizi.Nilijidharau sana nikaona hawa jamaa lengo lao ni kunidhalilisha. Una sup mambo ya chekechea!ππ
Denmark lazima watakaa tu, muda utaongea.Denmark hawaamini kinachowakuta leo, wanapigishwa pira giroud pira mbappe pira dembele πππ
Yaan walikua washakaa ila kipa anawabeba, kipa wao mzuriDenmark lazima watakaa tu, muda utaongea.
Ingia hesgoal.commwenye link tafadhari
Denamark hawaamini kilichowakuta leoDen wanakimbizwa sio poa
Mkeka wanguMbaaappe kakosa goli la wazi aisee,