Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mi hii lugha nilienda kukutana nayo chuo kisa Ufaransa wanadhamini kile chuo. Unafundishwa kitu ukishika daftari za watoto wa ndugu zako walioko chekechea unakuta nao wanafundishwa hayo hayo. Niliwachukia moja kwa moja wafaransa
Sasa wewe ulikuwa kwenye level ya elementary so ilikiwa sawa uanzie chini kama wa chekechea wanapoanzia
 
Mbappe Leo anakabwaaaa hadi sio poa
Ila najua wafaransa wajanja sana wana ka style kao ka uchezaji kulingana na hali halisii
..lazima watapata mbinu ya kutoboa tuu
Lazima watafunga, itafika muda Denmark wataachia kirahisi tu
 
Denmark hawaamini kinachowakuta leo, wanapigishwa pira giroud pira mbappe pira dembele 😁😁😁
 
Back
Top Bottom