Nadhan jibu ushapataVipi ana dalili yeyote ya kufunga?
Wachezaji wa afrc hawana ubunifu mbinu hakuna ni ilimradi mpira uende mbeleHivi hizi timu zetu kwanini wasijifunze kwa hawa ona jinsi wanavyofanya movement zao kwa akili....mtu anampasia mwenzie anajitenga kwny eneo zuri then aliempasia anamwona anmpasia tena anamalizia golini safiii,briliant. Kampa kampa tena
Nikiacha muiite MbwaJiandae kuteseka na arosto
Usele mwingiHivi hizi timu zetu kwanini wasijifunze kwa hawa ona jinsi wanavyofanya movement zao kwa akili....mtu anampasia mwenzie anajitenga kwny eneo zuri then aliempasia anamwona anmpasia tena anamalizia golini safiii,briliant. Kampa kampa tena
Goli limerudi, ufaransa hawafungwi hii gemu wanashindaDuh yamekuwa hayo tena.
France wafungwe sasa