Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hivi hizi timu zetu kwanini wasijifunze kwa hawa ona jinsi wanavyofanya movement zao kwa akili....mtu anampasia mwenzie anajitenga kwny eneo zuri then aliempasia anamwona anmpasia tena anamalizia golini safiii,briliant. Kampa kampa tena
 
Wachezaji wa afrc hawana ubunifu mbinu hakuna ni ilimradi mpira uende mbele
 
Wachambuz wa kibongo bana,wanapiga story za nchi gan sjui wanajisahau kutangaza hadi wakskia makelele ndo na wao wanaamka sasa
 
Hivi hizi timu zetu kwanini wasijifunze kwa hawa ona jinsi wanavyofanya movement zao kwa akili....mtu anampasia mwenzie anajitenga kwny eneo zuri then aliempasia anamwona anmpasia tena anamalizia golini safiii,briliant. Kampa kampa tena
Usele mwingi
 
Back
Top Bottom