Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hao sio waafrika mkuuKinachofanya hawa waafrika wa ulaya wanakuwa na akili nzuri za mpira ni LISHE tu
Kila la heri kwao wote wawili...win loose situationArgentina
Hamfikiii babe wangu 🤣🤣🤣Huyu manzi wa DSTV mzuri kinoma.
Hapa unamaana,gani mkuu 😆Hao sio waafrika mkuu
Ni watu wenye rangi nyeusi
Muafrika ni spishi tofauti sana dunia nzima
Hawa watakutana tu na Kigingi ni swala la muda[emoji599] 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: France are the first team at the World Cup to qualify for the round of 16.
Halaf nihawahawa weusi ndo wanaiheshimisha ufaransaBara la Africa nikama tulaana hivi.
Alafu usishangae aliye turoga keshatangulia mbinguni zanani sana, kwasasa ana jinywea zake Kvant taratiibu huku akitucheki tu tunavyo hangaika.
Wenda nikazeeka hivi hivi ama kufa kabisa, kabla hata timu moja kutoka Africa itakayo fika hata nusu fainali ya kumbe la Dunia.
Utagombana na Adela TilyaMpappe my love
Hawa wasaiv wanaushogaHuu Msemo wa Never Write Off the Germans haukusemwa tu watu wajifurahishe, hawa jamaa wameshachukua Kombe, time and again wakiwa na Timu Mbovu na Mpira usiovutia.....
Kuna Kipindi walikuwa wabovu kinoma ila Oliver Kahn akawabeba mpaka Fainali.....
Mbona muda tu nimo Ufaransa 🤣🤣Umehamia Ufwaransa?
Hao lishe imewabadilisha..wengine wamezaliwa hukuHao sio waafrika mkuu
Ni watu wenye rangi nyeusi
Muafrika ni spishi tofauti sana dunia nzima
Spain lazima avute pumzi ya motoooTusubiri kesho Spain v Germany, litakufa jitu uwanjani, kesho bunda km bundasliga patachimbika uwanja utafuka Moshi hakuna kupumzika mwanzo mwisho mputa mputa
Kuna Kenge hudai Mbappe ni overated key player kuliko Haalland, wakidai Haalland ni bora zaidi kuliko Kylian Mbappe [emoji849]Naona mdanishi alihitaji kupata sare lakini kitambaa hakikutosha!
Huyu Mbappe angeenda Madrid angebeba mpira wa dhahabu mwakani.
Yuko njema!
Kama kipi labda??!!Hawa watakutana tu na Kigingi ni swala la muda
Mastriker wazuri wote ni maselfish.Mbappe ubinafsi
Ila nyieeee 🤣🤣[mention]Depal [/mention] Kila timu inayoshinda ye ndio anashabikia, Mara Iran,Mara Saudia,...
Mkuu hii ni movie gani?Tusubiri kesho Spain v Germany, litakufa jitu uwanjani, kesho bunda km bundasliga patachimbika uwanja utafuka Moshi hakuna kupumzika mwanzo mwisho mputa mputa