Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Bara la Africa nikama tulaana hivi.
Alafu usishangae aliye turoga keshatangulia mbinguni zanani sana, kwasasa ana jinywea zake Kvant taratiibu huku akitucheki tu tunavyo hangaika.

Wenda nikazeeka hivi hivi ama kufa kabisa, kabla hata timu moja kutoka Africa itakayo fika hata nusu fainali ya kumbe la Dunia.
Halaf nihawahawa weusi ndo wanaiheshimisha ufaransa
 
Huu Msemo wa Never Write Off the Germans haukusemwa tu watu wajifurahishe, hawa jamaa wameshachukua Kombe, time and again wakiwa na Timu Mbovu na Mpira usiovutia.....

Kuna Kipindi walikuwa wabovu kinoma ila Oliver Kahn akawabeba mpaka Fainali.....
Hawa wasaiv wanaushoga
 
Tusubiri kesho Spain v Germany, litakufa jitu uwanjani, kesho bunda km bundasliga patachimbika uwanja utafuka Moshi hakuna kupumzika mwanzo mwisho mputa mputa
 
[mention]Depal [/mention] Kila timu inayoshinda ye ndio anashabikia, Mara Iran,Mara Saudia,...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Ila nyieeee 🤣🤣

Si niliwaambia me nashabikia penye chelsea na wakaka watamu kama wa France na Brazil

Sahiviii sijui nishabakie kwa huyi joti wa Ulaya
 
Back
Top Bottom