Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mpira 90 na zile 10 za FIFA mkuu
Tusitumie mate wakati kalamu zipo
Mpira dkk 90 ila kwa Poland Ajentina anakalishwa mapema. Ukicheki Saudi’s leo kaupiga mwingi kamzid kila kitu Poland Ila ndio ivyo tena uzoefu umewabeba Poland. Ivyo na Imani game ya mwisho Saudi’s atampiga Mehico
 
We nae husomeki kama K...mtu akiinama ipo kwa nyuma... akisimama ipo kwa mbele. Wewe si ulikuwa unaikandia arg wee?? Au kwakuwa amefunga? Kweli pata mafanikio uwajue watu🤣🤣😍
Jamani kumbe unajua kabisa kuwa k kila mkao inaonekana 🤣🤣🤣🤣 kwa lerformance ile hamna world cp winner hapo tusidanganyane.
 
Washashinda, lala kwa amani sasa
 
Kama naiona Yanga inavyochukua ubingwa na anaebisha abishe, Ninapozungumzia Yanga ninamaana Brazil maana tofauti ya Brazil na Yanga ni #Bukta tu 😀😀😀. Kura yangu nampa Brazil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…