Huu msemo kwa mara ya kwanza niliusikia jktWe nae husomeki kama K...mtu akiinama ipo kwa nyuma... akisimama ipo kwa mbele. Wewe si ulikuwa unaikandia arg wee?? Au kwakuwa amefunga? Kweli pata mafanikio uwajue watu[emoji1787][emoji1787][emoji7]
Kwani K IPOGO ivyo kweli?Huu msemo kwa mara ya kwanza niliusikia jkt
Allah ya nyokoMpira kasi mkuu, Allah yupo na Saudia wanarejesha anytime goli full time 1-1 Saudi wanapiga mtafute mtafute mda wowote watacheka
Kila mtu ana nafasi yake lakini kwa kigezo kimoja iko kumlinganisha mbape na yule mzee(messi) ni kama insults, yule ni legend apewe heshima yake na alivyovifanya vipo ambavyo kamwe mbape hatofanya, kama vile
Goli 51 kwa msimu mmoja la liga
Goli 91 kwa mwaka
Even being a greatest of the all time
Balloon d or saba
Pia kumbuka hata yeye sio center striker kama mbape ila he can score, dribble, assist, free kick
Haya tayari akiwa 23 alikuwa na balloon d or mbili ila mbape ndio hivyo tena
Pia usisahau kwa ubora wa national team France ipo vizuri sana kuliko Argentina so kwa vile mbape ni mchezaji mzuri inamsaidia kufanya vizuri zaidi, have you ever imagined messi angekuwa Spain? Au hata hapo France??? Bila shaka namba zake zingekuwa juu zaidi
Pindi wanachukua copa America, messi alihusika kwenye kila goli walilofunga Argentina, kama hakufunga yeye basi Ali assist, alikuwa man of the match game za kutosha pia alikuwa ndio mfungaji bora na mchezaji bora unaweza ona anavyotegemewa na wale vibonde wa Argentina na anavyoibeba kuliko hata mbape anavyotegemewa France naweza sema
All in all mbape ni talented kama alivyo messi na ni bora sana sema ndivyo hivyo lazima tuzidiane ili maisha yaendee
World Cup all time top scorers
Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wanakuja kuonekana kwenye nafasi ya 20+ na vigoli vyao vinane (8)
- Miroslav Klose, Germany 16 goals
- Ronaldo Brazil 15 goals
- Gerd Müller Germany 14 goals
- Just Fontaine France 13 goals
- Pelé Brazil 12 goals
- Jürgen Klinsmann Germany 11 goals
- Sándor Kocsis Hungary 11 goals
- Gabriel Batistuta Argentina 10 goals
- Teófilo Cubillas Peru 10 goals
- Grzegorz Lato Poland 10 goals
- Gary Lineker England 10 goals
- Thomas Müller * Germany 10 goals
- Helmut Rahn Germany 10 goals
Labda wataongeza
Kylian Mbape tayari ana goli 7 akiwa na umri wa miaka 23 na kwa WC mbili tu
Kashamzidi Legend wa France Thienry Henry ambaye ana goli sita kwa WC 4
View attachment 2428625
Kweli kabisaKila mtu ana nafasi yake lakini kwa kigezo kimoja iko kumlinganisha mbape na yule mzee(messi) ni kama insults, yule ni legend apewe heshima yake na alivyovifanya vipo ambavyo kamwe mbape hatofanya, kama vile
Goli 51 kwa msimu mmoja la liga
Goli 91 kwa mwaka
Even being a greatest of the all time
Balloon d or saba
Pia kumbuka hata yeye sio center striker kama mbape ila he can score, dribble, assist, free kick
Haya tayari akiwa 23 alikuwa na balloon d or mbili ila mbape ndio hivyo tena
Pia usisahau kwa ubora wa national team France ipo vizuri sana kuliko Argentina so kwa vile mbape ni mchezaji mzuri inamsaidia kufanya vizuri zaidi, have you ever imagined messi angekuwa Spain? Au hata hapo France??? Bila shaka namba zake zingekuwa juu zaidi
Pindi wanachukua copa America, messi alihusika kwenye kila goli walilofunga Argentina, kama hakufunga yeye basi Ali assist, alikuwa man of the match game za kutosha pia alikuwa ndio mfungaji bora na mchezaji bora unaweza ona anavyotegemewa na wale vibonde wa Argentina na anavyoibeba kuliko hata mbape anavyotegemewa France naweza sema
All in all mbape ni talented kama alivyo messi na ni bora sana sema ndivyo hivyo lazima tuzidiane ili maisha yaendee
Huu msemo kwa mara ya kwanza niliusikia jkt
Kwamba kuna mtu anamlinganisha messi na mbappe kwa kigezo cha goli za WC?!!...Basi sawa
Tatizo nyie wafuasi wa Messi hua hamtaki mungu wenu agusweKila mtu ana nafasi yake lakini kwa kigezo kimoja iko kumlinganisha mbape na yule mzee(messi) ni kama insults, yule ni legend apewe heshima yake na alivyovifanya vipo ambavyo kamwe mbape hatofanya, kama vile
Goli 51 kwa msimu mmoja la liga
Goli 91 kwa mwaka
Even being a greatest of the all time
Balloon d or saba
Pia kumbuka hata yeye sio center striker kama mbape ila he can score, dribble, assist, free kick
Haya tayari akiwa 23 alikuwa na balloon d or mbili ila mbape ndio hivyo tena
Pia usisahau kwa ubora wa national team France ipo vizuri sana kuliko Argentina so kwa vile mbape ni mchezaji mzuri inamsaidia kufanya vizuri zaidi, have you ever imagined messi angekuwa Spain? Au hata hapo France??? Bila shaka namba zake zingekuwa juu zaidi
Pindi wanachukua copa America, messi alihusika kwenye kila goli walilofunga Argentina, kama hakufunga yeye basi Ali assist, alikuwa man of the match game za kutosha pia alikuwa ndio mfungaji bora na mchezaji bora unaweza ona anavyotegemewa na wale vibonde wa Argentina na anavyoibeba kuliko hata mbape anavyotegemewa France naweza sema
All in all mbape ni talented kama alivyo messi na ni bora sana sema ndivyo hivyo lazima tuzidiane ili maisha yaendee
Akichuchumaa iko chini😀We nae husomeki kama K...mtu akiinama ipo kwa nyuma... akisimama ipo kwa mbele. Wewe si ulikuwa unaikandia arg wee?? Au kwakuwa amefunga? Kweli pata mafanikio uwajue watu🤣🤣😍
Thanks for this useful analysisKila mtu ana nafasi yake lakini kwa kigezo kimoja iko kumlinganisha mbape na yule mzee(messi) ni kama insults, yule ni legend apewe heshima yake na alivyovifanya vipo ambavyo kamwe mbape hatofanya, kama vile
Goli 51 kwa msimu mmoja la liga
Goli 91 kwa mwaka
Even being a greatest of the all time
Balloon d or saba
Pia kumbuka hata yeye sio center striker kama mbape ila he can score, dribble, assist, free kick
Haya tayari akiwa 23 alikuwa na balloon d or mbili ila mbape ndio hivyo tena
Pia usisahau kwa ubora wa national team France ipo vizuri sana kuliko Argentina so kwa vile mbape ni mchezaji mzuri inamsaidia kufanya vizuri zaidi, have you ever imagined messi angekuwa Spain? Au hata hapo France??? Bila shaka namba zake zingekuwa juu zaidi
Pindi wanachukua copa America, messi alihusika kwenye kila goli walilofunga Argentina, kama hakufunga yeye basi Ali assist, alikuwa man of the match game za kutosha pia alikuwa ndio mfungaji bora na mchezaji bora unaweza ona anavyotegemewa na wale vibonde wa Argentina na anavyoibeba kuliko hata mbape anavyotegemewa France naweza sema
All in all mbape ni talented kama alivyo messi na ni bora sana sema ndivyo hivyo lazima tuzidiane ili maisha yaendee
Hahahaha nimecheka kwa sautiiiiiAkichuchumaa iko chini😀
Usitumie hilo neno kwa kufuatisha na hilo tusi,ingekua jina la unachokiabudu wewe ungefanya hivyo? usiharibu hii thd.
Aaaaaaaaaaaa...Kama mchezaji wako hana kombe la dunia ni Sawa na demu bila tako
Viva mbape
Viva Thomas Müller
Poland hana team ya kuifunga Argentina.Gemu ya argentina na poland
ikiwa sare
Saudia akamgonga mexico
Hamuoni safari ya huyo mesi imeishia hapo
Kwa iyo mesi asali sana au amuombe mexico ashinde au adraw