Don't take it personal, this is football
Poland ya lewandorsk hii au nyingine[emoji23]Poland hana team ya kuifunga Argentina.
You nailed it, Tyrone KaijageNgoja niongezee mkuu Mr Leo [emoji1427] ili kumuelewesha vizuri huyu kijana anayemfananisha “Ninja Turtle” na “La Pulga”.
Ni haram kumfananisha Mbappe na Messi kisa Magoli 7 ya Mbappe in 2 WC na 1 WC trophy in store…..
Ni sawa na kumlinganisha mwanafunzi mkali wa Maarifa ya Jamii n mkali overall wa masomo yote [emoji28].
Mbappe is still a promising talent, yaani ndio he is about to do, well,he is trying to do what Messi has already done and still doing in this beautiful game.
Les Bleus wakimkosa Mbappe, team haitashake to be remarkable kwamba itakosa balance, ila Argentina ikimkosa Messi ni sawa na sisi Simba bila Chama [emoji1],pengo litaonekana, Impact ya Messi ni kubwa sana kwa Argentina kuliko ya Mbappe kwa France.
Mfumo wa Ufaransa kuwarahisishia players with other origins with French nationality kuwa sehemu ya mpira wao imewapa faida miaka yote,kihistoria ndio taifa la kwanza kuwatumia assimilated foreigners kwenye timu yao in WC.
Leo tunaona hata nchi zilizokuwa nadra sana kufanya hivyo nao wanafanya such as Germany, Spain, Italy etc.
Mfumo huu hutauona Argentina sijui miaka mingapi ijayo, Mbappe ana kila sababu ya kufanya aliyoyafanya na les Bleus ila hutayaona hayo ni lile li club lake PSG [emoji28],he chose money not legacy in the game, akwende kwa Los Blancos la liga halafu ndio mumlete kwa hizi comparison tena ni after years.
Hata Neymar aliyekuwa anatajwa kuwa nyuma ya two GOATS hasa hasa ni yule aliyekuwaga Barca na kutua PSG misimu ya mwanzoni ile,ila sio Neymar wa sasa wa PSG hajaisha la hasha , Neeymar wa Brazil ndio yuko nyuma ya the 2 Goats, Mbappe akisepa ligue 1 akwende EPL au La liga, atakuwa amechukua hatua za kusaka legacy ya Messi, ila kwa sasa loudly n confidentl speaking “WC stats hazimfanyi Mbappe kuwa kwenye mizani ya Messi”.
Messi is the legend.
Poland ni weupe2 kwa Argentina atapigwa kama ngoma akifunguka lakini akienda na mfumo wa beki tano kama wenzie mbili zitamuhusuPoland ya lewandorsk hii au nyingine[emoji23]
@ukikaidi utapigwa2 umeshindwa kutumia jina lingine hadi kutumia jina ilo????Tatizo nyie wafuasi wa Messi hua hamtaki mungu wenu aguswe
Hapo sasa argentina sioni akitoboaUfungwe na Saudi Arabia uje umfunge Poland [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbilikimo bye bye
Hao mashabiki ni wala mihogoFK21 soma hapo chini Raphinha analalamika mashabiki wa Brazil hawamuheshimu Neymar wala hawajastuka kutokuwepo kikosini. View attachment 2428810
Utoto na ubitoz wa Neymar uwanjani ndio umesababisha vyote ndio maana mashabiki wanaona bora asiwepo maana kuna watu wanauchungu na world cup hawajawahi kucheza maisha mwao yote.
Alisikika mlevi mmojaPoland ni weupe2 kwa Argentina atapigwa kama ngoma akifunguka lakini akienda na mfumo wa beki tano kama wenzie mbili zitamuhusu
Hyo sare labda akashone za harusi lakini kwa la pulga hapati, nipo nimekaa pale mkuuAlisikika mlevi mmoja
Nikukumbushe tu poland anahitaji sare tu ili afuzu....!
France inatiaha aisee....jana naona wadanish wanapewa upaja tuu chali.France haoooooo tumefunza mbuzi nyiny na mitimu yenu mibovu eti mtu ni shabiki wa Argentina,sjui Senegal sjui England
Kwa hii kauli naamini unatania na kama upo serious basi tukuache tu kama ulivyoUfungwe na Saudi Arabia uje umfunge Poland [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbilikimo bye bye
vipi kuhusu saudi arabia? Nae hana timu yakuifunga argentina? Mpira wa miguu hauna adabu tunza maneno yakoPoland hana team ya kuifunga Argentina.
Yaani kitu ni utabiri halafu unaufanyia conclusion! Ila wacheza mpira wa Jamii forum mna vichekeshoGemu ya argentina na poland
ikiwa sare
Saudia akamgonga mexico
Hamuoni safari ya huyo mesi imeishia hapo
Kwa iyo mesi asali sana au amuombe mexico ashinde au adraw
Ujinga saa ya kwenda sio saa ya kurudi,Argentina kilimponza ni kuidharau Saudi.vipi kuhusu saudi arabia? Nae hana timu yakuifunga argentina? Mpira wa miguu hauna adabu tunza maneno yako
Lewandowsk ndio kwanza amepata goli lake la kwanza kwenye World cup,hawezi kushindana na wapachika mabao.Poland ya lewandorsk hii au nyingine[emoji23]
Ujinga saa ya kwenda sio saa ya kurudi,Argentina kilimponza ni kuidharau Saudi.
sawa ngoja tusubiri mda uongee.Lewandowsk ndio kwanza amepata goli lake la kwanza kwenye World cup,hawezi kushindana na wapachika mabao.