German ni timu ila sasa kwa hiki wanachofanya hapana siko lazi kuwashabikia mashogaUjerumani imesema haitaacha kuziba midomo yao na kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya hispania wataziba tena, ikiwa ni kiashiria cha kunyimwa uhuru wao kutetea mashoga, wasagaji na wakoboaji. Wameomba watu wote wawaunge mkono kwa kuziba mdomo na kuwashangalia.View attachment 2428903
Masenge haya na leo Spain watawazibua mtaro warudi kwao wakakoboane vema.Ujerumani imesema haitaacha kuziba midomo yao na kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya hispania wataziba tena, ikiwa ni kiashiria cha kunyimwa uhuru wao kutetea mashoga, wasagaji na wakoboaji. Wameomba watu wote wawaunge mkono kwa kuziba mdomo na kuwashangalia.View attachment 2428903
Na sisi kamati ya fitina tutahakikisha Mbape anahamia Real Madrid na atazifunja rekodi zote za huyo ndoroboMbape Mbape ye nani?..mtoto ana ego yule pimbi mmatumbi akashiriki riadha. Hatofikia rekodi za akina Ronaldo na Messi mpaka anastaafu soka na mwenzie Neema. Kamati ya roho mbaya tushaweka sahihi za roho mbaya.
Grp H mtoe uruguay mueke GhanaMimi ninachojua tu ni hili hata Messi afurukute namna gani hawatafika nusu fainali
Akifurukuta sana ni 16 bora
Huu mtanange safari hii ina wenyewe
Brazili akisindikizwa na France na au Spain
Ubashiri wa timu zitakazosonga mbele hatua ya makundi
Group A
Group B
- Netherlands
- Ecuador
Group C
- England
- USA
Group D
- Argentina
- Poland
Group E
- France
- Denmark
Group F
- German
- Spain
Group G
- Belgium
- Croatia
Group H
- Brazil
- Switzerland
- Portugal
- Uruguay
Mimi nilishajitoa kubetia timu za AfrikaGrp H mtoe uruguay mueke Ghana
Group B weka England na Iran aiseeMimi ninachojua tu ni hili hata Messi afurukute namna gani hawatafika nusu fainali
Akifurukuta sana ni 16 bora
Huu mtanange safari hii ina wenyewe
Brazili akisindikizwa na France na au Spain
Ubashiri wa timu zitakazosonga mbele hatua ya makundi
Group A
Group B
- Netherlands
- Ecuador
Group C
- England
- USA
Group D
- Argentina
- Poland
Group E
- France
- Denmark
Group F
- German
- Spain
Group G
- Belgium
- Croatia
Group H
- Brazil
- Switzerland
- Portugal
- Uruguay
Dah nyie ndo wenye imani za kuhamisha milimaNasikia ukibeti kwamba timu ya Africa ikichukua kombe la dunia unalipwa milioni 100 ndio nataka nibeti kwamba bingwa wa world cup ni Ghana
Unajifurahisha sioNasikia ukibeti kwamba timu ya Africa ikichukua kombe la dunia unalipwa milioni 100 ndio nataka nibeti kwamba bingwa wa world cup ni Ghana
Kwa yale ma speed yake ya ovyo.Na sisi kamati ya fitina tutahakikisha Mbape anahamia Real Madrid na atazifunja rekodi zote za huyo ndorobo
Watu kama nyinyi ndio hushikwaga na butwaa mwishoni. Alafu mnaishia kusema ningejua!!??Unajifurahisha sio
Ghana ichukue kombe la dunia [emoji2089][emoji2089][emoji2089]Nasikia ukibeti kwamba timu ya Africa ikichukua kombe la dunia unalipwa milioni 100 ndio nataka nibeti kwamba bingwa wa world cup ni Ghana
Niite mbwaWatu kama nyinyi ndio hushikwaga na butwaa mwishoni. Alafu mnaishia kusema ningejua!!??
Sawa nitakuita mbwa jikeNiite mbwa
Maeneo kama haya tunayodharauliwa ndio watu wenye maono tunaonekanaGhana ichukue kombe la dunia [emoji2089][emoji2089][emoji2089]