mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
German ni timu ila sasa kwa hiki wanachofanya hapana siko lazi kuwashabikia mashogaUjerumani imesema haitaacha kuziba midomo yao na kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya hispania wataziba tena, ikiwa ni kiashiria cha kunyimwa uhuru wao kutetea mashoga, wasagaji na wakoboaji. Wameomba watu wote wawaunge mkono kwa kuziba mdomo na kuwashangalia.View attachment 2428903
haya mashindano sio sehemu ya kupromote ushoga heri wafungwe; mashoga kabisa wabebe kombe