Leo spain anakufa then mechi za mwisho japan na costa rica hawana chaoTeam Japan tuiombee njaa Ujerumani, then tukatafute droo na Spain
Daahh, kwamba miujiza huwa ipo round ya 1 tu, noma sanaLeo spain anakufa then mechi za mwisho japan na costa rica hawana chao
Leo Spain analala.Japan katepeta...leo german machines tuna jambo letu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Leo ujerumani akishinda hili group litakuwa la kichawi
Acha basi unasimamaje upande moya na wale Germans wanaosisitizia ushoga? Hata baba lao US hajaleta hizi mambo kwenye WC ye anapambana kiume na hali yake huku akimsubiri swahiba wake Iran. Weweeee patamu hapo naisubiri hiyo gameLeo Spain analala.
Acha Spain walale ili mechi no 3 ziwe na mvuto.Acha basi unasimamaje upande moya na wale Germans wanaosisitizia ushoga? Hata baba lao US hajaleta hizi mambo kwenye WC ye anapambana kiume na hali yake huku akimsubiri swahiba wake Iran. Weweeee patamu hapo naisubiri hiyo game
Inaitwa ticketi ya kwenda kwenye nchi ya ahadi, leo Belgium ataungana na France, Spain na Ujerumani mechi itaishia drooMpaka Sasa ni France pekee wenye ticket ya kwenda round ya pili. Germany hope atamkwamisha Spain kuchukua ticket yake.
5l[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SAA kumi Kuna
Belgium vs moroco
Simba vs polisi
Sasa Utachagua umuangalie De bryne au Kibu denis.
[emoji3][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Halafu hizi on target pekee zimekuwa na faida sana.On target pekee katika hii world cup inawapa Costa Rica points 3 muhimu kuwachelewesha kuondolewa mashindanoni
Nakataaa, napinga, nasigina..Germans wanakufa leo awahi kutoka akashiriki vema kampeni za ushoga. We huoni kama watachelewa wakiendelea?Acha Spain walale ili mechi no 3 ziwe na mvuto.
Anawaibia matajiri anagawia masikiniJapan katepeta...leo german machines tuna jambo letu.
Kwani alikuwa anavuka, Ujerumani alimuotea na katika haya mashindano huwezi kumuotea kila mtu. Hili group ni Spain na Ujerumani. Leo droo, mechi za mwisho Spain na Ujerumani wanashinda mechi zaoJapan 🇯🇵 kaleta upimbi, ki masihara anaweza asivuke makundi, wakati walikuwa na nafasi nzuri