Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Japan 🇯🇵 kaleta upimbi, ki masihara anaweza asivuke makundi, wakati walikuwa na nafasi nzuri
Kwani alikuwa anavuka, Ujerumani alimuotea na katika haya mashindano huwezi kumuotea kila mtu. Hili group ni Spain na Ujerumani. Leo droo, mechi za mwisho Spain na Ujerumani wanashinda mechi zao
 
Back
Top Bottom