Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Belgium zama za wachezaji hawa zimeshapita. Ilikuwa ni worldcup iliyopita. Sasa wameshapita ''pick'' ya uchezaji wao na watazidi kuporomoka. Kina Hazard, Vertonghen, Lukaku wote siku zao za kuwa juu zimepita. Inabidi waanze tena na kizazi kingine
KDB alikua sahihi majuz kusema wao ni wazee hata kama alisema kwa Sarcasm lkn ndo ukwl.
 
Miaka ya Baadae tunaweza kwenda, wanaongeza timu.

Huoni mataifa Africa tulienda walivyoongeza timu.

World cup ijayo kutakua na timu 48 badala ya 32, na sitashangaa wakiongeza hadi 64.
Ikiwezekana wafanye world cup kila baada ya miaka 3
 
Nikiweka buku napata sh ngapi?
Sifanyi ujinga wa kubet Hela zaidi ya elfu 5

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Betting it's like a business mwenye mtaji mkubwa ndo anakuwa na asilimia kubwa ya kushinda, kwa mfano leo simba alikuwa na odd ya 1.55 ukiweka 1M unapata 1.5M faida ni 500k lakini ukiweka hyo buku yako unayosema ungepata 1500 faida ingekuwa 500.kwahyo ungekuwa na 1M kwa siku mbili jana na leo ungekuwa ushatengeneza 1M kama faida ambapo wengine wanaisaka mwezi mzima
 
Hata Cameroon wanacheza nje mkuu
Wachezaji wa Morocco wote hucheza mpira wa kulipya nje ya nchi, kwahiyo taifa star kama malengo ya kushiriki kombe la taifa tunao tuanze na kupeleka wachezaji wetu nje, soma la simba na Yanga halitupeleke popote
 
1500 inatosha kabisa bando.
High risk,high return/loss
Mimi siyo risk taker..

Siwezi chezea hela kiasi hicho😂
Elfu10 tu siweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…