Kama una mtaji wa million kila leo unalaza laki 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una mtaji wa million kila leo unalaza laki 3
Miaka ya Baadae tunaweza kwenda, wanaongeza timu.Wee bwana hapa tanzania kwenda world cup mpaka yesu arudi na dunia izaliwe upya. Kwa mikakati gani tuliyokuwa nayo? Vijeva vya u20 ndio ukashindane ulimwenhuni huko. Tuache utani.
Morocco licha ya kwamba wana wachezaji nje huko lakini wame invest kinoma. Hiyo training facility ya national team unaambiwa ni the best in the world yaani hata za ulaya hazigusi. Wenzetu wanamipango sie tuna porojo tuu.
NdioUjerumani akipigwa si anatoka?
Hatoki, Japan kapigwa.Ndio
Moroco ndio kishapita?Hatoki, Japan kapigwa.
Bado, nadhani atakuwa ameoita kama Croatia akishinda kwa bao mojaMoroco ndio kishapita?
Kivipi mkuu nifahamishe.Bado
Wamemchania jamvi huyo
Mwaka 2018 walikuwa na kikosi bora Sana mpaka walimalize wakiwa nafasi ya 3...Ila kwa Sasa wapo kwenye mdororo.Beligium takatakaaa kabisa
Morocco ana kikosi bora Sana na wachezaji wakubwa wenye uzoefu wa soka la kisasa.Hawa waarabu hatari....kweli kocha wakushinda champions league kaonyesha ubora wake on the world stage
Morocco bado pia, sema ana chance kubwa ya kufuzu. Mechi ya Croatia na Canada itatupa majibu mengi.Moroco ndio kishapita?
hivi wanaangalia head-head au?Hatoki, Japan kapigwa.
Halafu sasa nmeshaona halufu ya canada kushindaMorocco bado pia, sema ana chance kubwa ya kufuzu. Mechi ya Croatia na Canada itatupa majibu mengi.
-Canada akifungwa ni safari, mechi ya mwisho draw ama ushindi wa Croatia anafuzu Morocco.
-kama Canada anadraw inabidi mechi ya mwisho Canada amfunge Morocco goli za kutosha, Difference ya 2 kama 2-0, 3-1, 4-2 etc.
-kama Canada anashinda Group linakuwa gumu sana, mechi ya mwisho timu zote zinaweza fuzu zikishinda.
Ndio mpira huoJapana anazingua huku. Dah! Kamchapa germany anakuja chapwa na costa rica jamani
Huwa naweza kuotea ushindiogopa kama ukoma hii mambo rafiki
Yaani niweke million kwenye betting?[emoji1787]Kama una mtaji wa million kila leo unalaza laki 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamemchania jamvi huyo
Croatia atacheza na Ubelgiji mechi ya mwishoKivipi mkuu nifahamishe.
Sasa wee unataka uweke buku upate million mia 🤣🤣🤣🤣🤣Yaani niweke million kwenye betting?[emoji1787]
Si ntakuwa nimechanganyikiwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hapana wanaangalia utofauti wa magoli,hivi wanaangalia head-head au?
Wataharibu mashindano. Hao 32 wanatosha lah sivyo yataensa magarasa sasa.Miaka ya Baadae tunaweza kwenda, wanaongeza timu.
Huoni mataifa Africa tulienda walivyoongeza timu.
World cup ijayo kutakua na timu 48 badala ya 32, na sitashangaa wakiongeza hadi 64.