Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wee bwana hapa tanzania kwenda world cup mpaka yesu arudi na dunia izaliwe upya. Kwa mikakati gani tuliyokuwa nayo? Vijeva vya u20 ndio ukashindane ulimwenhuni huko. Tuache utani.

Morocco licha ya kwamba wana wachezaji nje huko lakini wame invest kinoma. Hiyo training facility ya national team unaambiwa ni the best in the world yaani hata za ulaya hazigusi. Wenzetu wanamipango sie tuna porojo tuu.
Miaka ya Baadae tunaweza kwenda, wanaongeza timu.

Huoni mataifa Africa tulienda walivyoongeza timu.

World cup ijayo kutakua na timu 48 badala ya 32, na sitashangaa wakiongeza hadi 64.
 
Beligium takatakaaa kabisa
Mwaka 2018 walikuwa na kikosi bora Sana mpaka walimalize wakiwa nafasi ya 3...Ila kwa Sasa wapo kwenye mdororo.
Hawa waarabu hatari....kweli kocha wakushinda champions league kaonyesha ubora wake on the world stage
Morocco ana kikosi bora Sana na wachezaji wakubwa wenye uzoefu wa soka la kisasa.
 
Moroco ndio kishapita?
Morocco bado pia, sema ana chance kubwa ya kufuzu. Mechi ya Croatia na Canada itatupa majibu mengi.
-Canada akifungwa ni safari, mechi ya mwisho draw ama ushindi wa Croatia anafuzu Morocco.
-kama Canada anadraw inabidi mechi ya mwisho Canada amfunge Morocco goli za kutosha, Difference ya 2 kama 2-0, 3-1, 4-2 etc.
-kama Canada anashinda Group linakuwa gumu sana, mechi ya mwisho timu zote zinaweza fuzu zikishinda.
 
Halafu sasa nmeshaona halufu ya canada kushinda
 
Kivipi mkuu nifahamishe.
Croatia atacheza na Ubelgiji mechi ya mwisho
Kama Croatia atashinda leo atakuwa sawa na Morocco
Mechi za mwisho ndizo zitaamua
Akishinda Belgium na Morocco akafungwa na Canada. Morocco anaweza akatolewa kwa GD na Croatia
Kama croatia ata droo au kufungwa mechi ya leo na Canada ndio mambo yanazidi kuwa ngumu kwenye group kwani kila timu itakuwa na fursa ya kusonga mbele
 
hivi wanaangalia head-head au?
Hapana wanaangalia utofauti wa magoli,

Angeshinda japan na leo spain akishinda ina maana wote wangekua na 6, so Ujerumani angetoka.

Ila japan kapigwa hata spaiin akishinda mechi ijayo Ujerumani akimpiga Costa rica na Spain akimpiga japan anaweza Fuzu Ujerumani.
 
Miaka ya Baadae tunaweza kwenda, wanaongeza timu.

Huoni mataifa Africa tulienda walivyoongeza timu.

World cup ijayo kutakua na timu 48 badala ya 32, na sitashangaa wakiongeza hadi 64.
Wataharibu mashindano. Hao 32 wanatosha lah sivyo yataensa magarasa sasa.
 
Back
Top Bottom