Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa[emoji23]Mmmh hata kama,haya utanipa mrejesho nakusklizia kwanza[emoji28]
Kama una mtaji lecture ipo bureMmmh hata kama,haya utanipa mrejesho nakusklizia kwanza[emoji28]
NaogopaaaaaKama una mtaji lecture ipo bure
Dada kubet no roho. Ukianza utaona ah ngoja niache nimeliwa...lakin unajikuta unashawishika kujaribu tena. Unabet unakula tena hela ya maana...unasema tena...unakula hela ya maana....heheeee hapo ndo shetan anavuta ndoo anakaa kujifunza. Kila ukitaka kuacha wapi... Addictions ni mbaya jaman
Fanya Namna tu, Usiwategemee HawaWakuu hivi game ya Ujerumani vs Spain Tbc wataonesha?
NdioWakuu hivi game ya Ujerumani vs Spain Tbc wataonesha?
Huwa wapo wanaopitia Morocco ila wengi wanapitia Libya ambapo hakuna Ulinzi.Duh wacha nifanye mpango nizamie
Unaogopa nini?Naogopaaaaa
Asante mkuuNdio
[emoji16][emoji16][emoji16] hawachelewi kuweka nyuki wa mamaFanya Namna tu, Usiwategemee Hawa
Tutaona[emoji16]Spain leo tunaua mashoga Bavarian
Ndio wataonesha, nenda hapa kuna picha download, kulipoandikwa FTA ndio mechi wanazoonesha.Wakuu hivi game ya Ujerumani vs Spain Tbc wataonesha?
Kumbe kweli!Yupo sahihi bwana Morocco na spain ni KM 14 tu, mfano Znz ni km 40 kama sijakosea.
View attachment 2429297
View attachment 2429298
Watu walijua nawapa chai ya jioniYupo sahihi bwana Morocco na spain ni KM 14 tu, mfano Znz ni km 40 kama sijakosea.
View attachment 2429297
View attachment 2429298