ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Anaweza kufanya vizuri, holding/defensive mid wengi wanacheza centre back bila shida...Ndio maana nasema leo spain anapigwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza kufanya vizuri, holding/defensive mid wengi wanacheza centre back bila shida...Ndio maana nasema leo spain anapigwa..
Nimezoea kumuona City akicheza mid ndio nikawa najiuliza.CDM kucheza CB sio jambo la kushangaza.. Na amewah kucheza hapo mara kibao.. Na hata game ya Costa Rica alicheza CB
Yes ni kwl city uwa yuko kati, sema Spain Enrique anamuamin sana Busquets kati kuliko mtu yoyote ndo maana Rodri CBNimezoea kumuona City akicheza mid ndio nikawa najiuliza.
Kama ww sio shoga hayo mambo ya ushoga yanakuathiri vp?Sisi tunaangalia yale matimu yanayosupport ugasho. Hao akina qatar na Tunisia ni udhaifu wa timu zao.
Ni save ile kipa kaichezaShoot zuri hapa limegonga mwamba
Ee aisee nimeonaNi save ile kipa kaicheza
Spain wanakiwasha