Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kwa pira alilo piga leo Morocco sioni Canada kupata hata sare.bado, akipigwa na canada 2-0, hao waulaya wakatoa sare anakua wa tatu
Hilo fataki limeniacha hoi aisee!Chuma Zinakula Nguzo tu [emoji1787][emoji1787]
Ferran TorresHivi Huyu Dogo Wa Spain [emoji633] anatamkwa Fernando Torres au Nasikia Vibaya?
[emoji120]Ferran Torres
Si angemuita tu mnyama Ramos pale kati?Yes ni kwl city uwa yuko kati, sema Spain Enrique anamuamin sana Busquets kati kuliko mtu yoyote ndo maana Rodri CB
KivipiEndapo matako yatabaki hivi hivi basi Morocco itakuwa timu ya kwanza kutoka Africa kufuzu mtoanoView attachment 2429261