Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

France wana watu wa kazi, ila majeruhi watatucost.. No Pogba, Benzema, Nkunku, Kante.. daah Brazil wana timu nzuri sana sema mabitozi
Sema France hata wasipochukua sio mbaya sana maana last season walichukua
 
Uchumi ndio kila kitu

Sisi bado tuna fight na umeme pamoja na bundles

Ila Tungewekeza Nguvu kwenyw Vitu Vichache tuuu Tungekuwa Mbali, Uki host Kombe la Dunia Ina Boost sana Uchumi.

Angalia South Afrika Kabla na Baada ya Kombe la Dunia.

Ni vile Tuuu wa South Hawana Akiliii wanapitwa na Nigeria kwa Sababu Ya Upuuzi wao.

South Afrika Inahangaika Umeme Tanzania Tunasubiri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mwaka hawa tbc walikuwa wanachambua mpira, marehemu Mwalimu Kashasha (Mungu amrehemu) alikuwa kashika fimbo huku anaelekeza kwenye tv pale.
Bora leo naona wameweka big screen hapo.
Ndo alipata umaarufu hpo mwl kashasha. Mungu ampumzishe kwa amani
 
Sasa mpaka u host si lazima uwe umefikia vigezo

Una kiwanja kimoja, timu zaidi ya 16 zitafanyia mazoezi wapi?

Ubahili na kuongozwa na wazee walafi wasiokuwa na vision ni tatizo
 


Hii ni Ratiba Ya Kukatika Umeme ya Afrika Kusini, Kule ESKOM inawanyoosha TANESCO isubiriiiii sema Ndio Vile hawawezi kusema sanaaa. Wanategemea Umeme wa Generator hadi leoooo nchi yenye viwanda vingi vile na Uchumi Mkubwa.

Wanapoteza Hela Nyingi sana South Afrika Kuputia Umeme. South Afrika wanaenda Hatua Moja Mbele Hatua Tano Nyumaaa…..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania Tuvumilie tuuu kuna sehemu tupo pazuri

South Afrika Wanakata Umeme hadi Hospitalini [emoji23]
 
Azam TV hawataki tumuone mama Samia [emoji22][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ambao hatujalipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…