Umeanzaaa kaka Yuda.Hatimae roho imetulia
Ameonekana baada ya Sane kuingia, Sane amebadilisha sana uchezaji wa Musiala maana wakabaji kwake wamepunguaJamal Musiala ana balaa
Kipa amejitahidi sanaHapa napo hamna kipa
We sema tu kama ulibeti tujue tunakusaidiaje kukufarijiHatimae roho imetulia
Na kipa naye ni mchezaji piaKipa amejitahidi sana
Ni michezaji mipumbavu hata haikabi vizuri
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Lile lilikuwa ni shuti kali, mtalaumu bure tu.
Mapenzi hayalazimishwi yaani nimejitahidi kuipenda Spain nimeshindwa 😂Umeanzaaa kaka Yuda.