Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Offside ilionekana tangu muda lakini kinendera hakutoa ishara ili mpira usiendelee kuchezwa

Lakini alivyoona ule mpjra unaenda kuleta madhara kwenye goli la mpinzani akanyoosha flag, sa hii ndio nini?

Refa unalaumu wachezaji kupoteza muda wakati wenzako wa nje nao wanaifanya hiyo kazi
 
Back
Top Bottom