The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Nilitegemea kocha awatoe Musiala,Segnabry na Muller Sasa kawatoa wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiaje utajua tuuKiaje?
Musiala hatakiwi kutoka kwasasa.Nilitegemea kocha awatoe Musiala,Segnabry na Muller Sasa kawatoa wengine
Ndo limekosa goli sasaMusiala hatakiwi kutoka kwasasa.
Toa sababu. Kama mechi ya mwisho German akishinda kwa goli kuanzia 4 halafu Japan akafungwa na Spain, Ujerumani hata fuzu?Kiaje utajua tuu
Kuna Koke, Mauro Icardi, Zlatan, Ramos hawa jamaa wameifanya miili yao kama ubao wa kuchoraKaingia Xxxtentacion
Waonee huruma basi na ww🤣Wakosage tu[emoji706]