Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Dk 10 tu yameshindwa kukaba hadi mwishoNa kipa naye ni mchezaji pia
Ngoja tuone kama wataongeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miuu umenichekesha sanaWe vp! Matokeo tukupe sisi halafu ushangilie kuliko sisi?
Huyu Williams kaweka dreada kama za triple xKuna Koke, Mauro Icardi, Zlatan, Ramos hawa jamaa wameifanya miili yao kama ubao wa kuchora
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa kanishangaza
Oooh nilidhani unazungumzia tatooHuyu Williams kaweka dreada kama za triple x
Japan atashindwa kufuzu kwa ujinga wake wa leo itamcost sana.Kwenye hili group mwenye kazi kubwa ni Japan. Mechi ya mwisho Germany anampiga Costa rica huku Spain anaenda kutafuta draw dhidi ya Japan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa wanaenda kumkandika costa ricaWatoke
Sasa mtu km Sane c muafrica yule , Rudiger je ?Wazungu kumbe hawajapishana sana na sisi
Yale makosa yetu ya kiasili hata humu nayaona
Hii draw imefanya mambo yanoge sasa....japana inabidi atafute ushindi dhidi ya spain na germany amkandike nyingi costa ricaKimahesabu ikoje? Kama game ya mwisho Germany akimpiga costa rica goli hata 7 halafu Japan akafungwa na Spain
Kuna kigogo mmoja hapo arudi home muda si mrefu spain hii game kauzaHii draw imefanya mambo yanoge sasa....japana inabidi atafute ushindi dhidi ya spain na germany amkandike nyingi costa rica
Mkuu naomba nifundisheni kubet natamani lakini sijuiWe sema tu kama ulibeti tujue tunakusaidiaje kukufariji
Hapana sijawalenga hao weusi, kuna ngozi nyeupe mle ni nyeupe kimwili ila kiroho wale ni ndugu zetu kabisaSasa mtu km Sane c muafrica yule , Rudiger je ?
Usikute unawaangalia hawa wa africa waliopewa uraia na mataifa ya ulaya ukawabebesha wazungu mizigo isiyo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumfunga Costa Rika ni sawa na uji kwa mgonjwaMpk hapa Mjeruman out...naamin hivi
Okocha alipiga dripples 15 ndani ya mechi mojaMwaka 1994 nigeria aliongoza kundi mbele ya argentina ya maradona raraa reree View attachment 2429218