Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Uhakika wa Ujerumani kumfunga Costa Rica upo
Kazi itakuwa sasa matokeo ya Spain na Japan
Kama Japan itashinda Ujerumani watatakiwa kuwafunga Costa Rica kwa formula hii
9-magoli ambayo spain atafungwa
Hii ni kwa vile wakifungana point GD ndiyo itakayoangaliwa. Kwa sasa Spain ana GD ya 7 na Ujerumani ana JD ya -1

Japan akimfunga Spain 1-0 au magoli yenye tofauti ya moja itabidi Ujerumani wawafunge Costa Rica goli 8
 
Sasa mtu km Sane c muafrica yule , Rudiger je ?
Usikute unawaangalia hawa wa africa waliopewa uraia na mataifa ya ulaya ukawabebesha wazungu mizigo isiyo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sijawalenga hao weusi, kuna ngozi nyeupe mle ni nyeupe kimwili ila kiroho wale ni ndugu zetu kabisa

Ile kitu huwa haijifichi, we tazama vizuri kila mechi utaona tu kuwa huyu sio chui ni paka kavaa chapati tu
 
Back
Top Bottom