Dah, pole yao wavimba macho.
Atajua mwenyewe na anamcheka kweliEtoo atajuta kumfukuza Onana. Kama ninamuona Onana anavyocheka ...
Kipa sijui yuko wapi masikini,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kasemaje
Wacha wapelekewe moto wamezichezea nafasi wenzao wanazitumia umbwa hawaHawa Cameroon wamekanyaga [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipa sijui yuko wapi masikini,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mungu tujaalie ushindi sisi ngozi ya goti.
Achana nae mchawi huyo.
Sik zote Ukisikia watu wanasema game management ni muhm sana Usicheze tu kama unacheza ndondo cup mabibo sokon pale.