Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hakuna faida ya Cameroon kupaki bus, watoke nyuma wakatafute magoli kwa nidhamu.

Either wafungwe nyingi au chache watatoka tu na tayari wapo nyuma ya wakati, kuna faida ya bus lao?
 
Kasema mdau moja juu apo

Cameroon wanacheza ule mpira majalo

Zamani tukiwaita wasafishaji

Kila mpira unaokuja unaufumua uende mbali na goli lako
Kumbe kufumua mbali ni kuwarahisishia wapinzani kukaba na kuweka mpira chini
Sik zote Ukisikia watu wanasema game management ni muhm sana Usicheze tu kama unacheza ndondo cup mabibo sokon pale.
 
Back
Top Bottom