Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wamechafukwaaaaaa lol.
 
Basi Brazil si wazuri kihivyo, maana walihangaika sana kuwafunga Serbia.
Mpr hauko ivo ase.

Kila mechi ina game plan yake.. Serbia aliset up team yake sik ile kua compact kutokana na opponent anayecheza naye ni mzr kuliko yy.

Leo Serbia amekuja na game plan nyngne akiamin yy ni mzr kuliko [emoji1062] ndo maana wanacheza sana open football kuliko game ya Brazil walikua compact sana hawaachi spaces kwa Brazil kuweza kuexploit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…