SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Two clear offside goals!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka una mikeka?Hii mechi FIFA imezingua, haya magoli 2 ni ya Offside kabisa
Kwa macho ni off kwl lkn sio offside izo alitime mikimbio yake vzr.Two clear offside goals!
amna offside paleTwo clear offside goals!
[emoji23]Itakua asee.Kaka una mikeka?
mjomba mpira ujawai kucheza unaonekanaTwo clear offside goals!
Offiside kabsa Yale mawiliKwa mara ya kwanza VAR ipo upande wa Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakubalinan na wee lazm Cameroon imle vzr na neema wao hatakuwepoBasi Brazil si wazuri kihivyo, maana walihangaika sana kuwafunga Serbia.
Hakuna offside pale banaOffiside kabsa Yale mawili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]VAR FOR AFRICA ASANTE REFA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpr hauko ivo ase.Basi Brazil si wazuri kihivyo, maana walihangaika sana kuwafunga Serbia.
Ni wa kawaida mnoBasi Brazil si wazuri kihivyo, maana walihangaika sana kuwafunga Serbia.