Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
TANESCO muwe mnakata umeme mechi za hivi kama mlivyofanya hii mechi
Huyu jmaa Yuko POA Sana nashangaa song kuto mpa chance at firstvincent Aboubakar [emoji1430][emoji1430]
Tubet ufaransa hawez kumfunga Brazil hv unamjua vini ww waulize Liverpool [emoji41][emoji41]Ni wa kawaida mno
Wakikutana na Ufaransa watapelekewa moto hatari.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Walete hao mabishoo wacheze na Ufaransa uoneTubet ufaransa hawez kumfunga Brazil hv unamjua vini ww waulize Liverpool [emoji41][emoji41]
Unakosa uhondoTANESCO muwe mnakata umeme mechi za hivi kama mlivyofanya hii mechi
Nitawapiga ufaransa mpka warud kwao Afrika ni wakongo wale siyo wazungu
Yupo sub [emoji41]HV dejan yule wa Simba hajaitwa kwenye hiki kikosi [emoji23]
kule kwao anacheza ligi za mitaaHV dejan yule wa Simba hajaitwa kwenye hiki kikosi [emoji23]
Pengine hata anacheza zile za ligi za chuokule kwao anacheza ligi za mitaa
Acha ubaguzi. Wengi wamezaliwa France n'a maisha yao yote hawajawahi kanyaga Africa.Nitawapiga ufaransa mpka warud kwao Afrika ni wakongo wale siyo wazungu
Chuki binafsi tu .Etoo ndo anaendesha hiyo team.Sasa huyu kocha kwanini hakuanza na Vincent ?!! au ndio chuki binafsi...
Umeweka hela kwa Serbia?Hii mechi FIFA imezingua, haya magoli 2 ni ya Offside kabisa
Ndiomaana kila mwamuzi huwa mnamuita wa mchongo, hakuna offside pale.VAR FOR AFRICA ASANTE REFA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima leo wengi wameiua Cameroun. Ila naona Serbia watashinda. Hii mechi yeyote atakaeshindwa anaaga mashindano.Umeweka hela kwa Serbia?