Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Huna timu ya ushindani
Poland wanakusubir [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poland tena mzee baba 😂😂 atakula hamsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna timu ya ushindani
Poland wanakusubir [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngolo Kante kasoma tanga usagara pale akaenda zao FranceAcha ubaguzi. Wengi wamezaliwa France n'a maisha yao yote hawajawahi kanyaga Africa.
Brazil pale kuna mzungu wote ni wa msumbijiNitawapiga ufaransa mpka warud kwao Afrika ni wakongo wale siyo wazungu
Ww binti Sema bingwa Brazil anacheza na nani
Na vile watangazaji wao wanavyotangaza utafurahi😁mbwembwe nyingiIla tbc jamani na sare wameshona😂😂😂😂😂😂
Kwakuwa wewe pia ni mbongo, basi yawezekana umemezeshwa kinyume na kila tunachoamini wengine ndiomaana umekuwa mbishi.Swali langu hizi speculation mnazitoa wapi?
Kwasababu wabongo ni wazuri kwenye kumezeshwa uongo na kuamini
Umesahau ya Saudi Arabia utakumbuka ya PolandPoland tena mzee baba [emoji23][emoji23] atakula hamsa
Kamkataa Kocha eti hana mbinu kisa anacheza inter MilanOnana alifanya kosa gani, hata bench hayupo.
Watacheza na China [emoji41] baadae usku saa nne
Vicent abboubakarHuyu mwamba mwenye kipala0anaitwa nani? Kawatesa sana serbia
Bingwa wa wapi Mbna atapasuliwa vzr tu na CameroonWw binti Sema bingwa Brazil anacheza na nani
Hapa umekosea kutype ama?🤔Watacheza na China [emoji41] baadae usku saa nne
Kheee ww Tema mate chiniBingwa wa wapi Mbna atapasuliwa vzr tu na Cameroon
Kwa Afrika sina wasiwasi na Ghana pamoja na SenegalGhana nao wapambane wafanye maajabu siyo kuruka juu kama Ronaldo