Mechi iliyopita pia hakucheza kabisa, sijui kwa niniSasa huyu kocha kwanini hakuanza na Vincent ?!! au ndio chuki binafsi...
Chuki binafsi tu .Etoo ndo anaendesha hiyo team.
Apia
Kwani ni uongo kuwa,Cameroon inaendeshwa kwa matakwa ya Etoo?Wewe upo marseille umejuaje ya cameroon
Leo VAR imezingua kabisaaaaaaaaaaaTwo clear offside goals!
Brazil 2 goalsKaka una mikeka?
Pole mkuu, ungetembea na over 2.5 au 3.5Leo VAR imezingua kabisaaaaaaaaaaa
Chuki tu za Etoo.Mechi iliyopita pia hakucheza kabisa, sijui kwa nini
Uswizi saa moja jioni.
Wamejitahidi kupindua matokeoApia
Hii mechi sijaigusa kabisa, naisubiri ya Ghana, Brazil, Portugal point 3 ziko hapoPole mkuu, ungetembea na over 2.5 au 3.5
Kwani ni uongo kuwa,Cameroon inaendeshwa kwa matakwa ya Etoo?
Hat hiyo kocha alichaguliwa tu na Etoo hila kuwa vigezo vyovyote vya msingi.
Sisi wa Cameroon tumekusamehe kwa kutuita wazembe.Ni uzembe wa hali ya juu goli 2 zinafungwa ndani ya dakika chache hivyo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kivipi? Wana ugomvi binafsi?Chuki tu za Etoo.
Ulibeti nini amekuchania mkekaHii mechi FIFA imezingua, haya magoli 2 ni ya Offside kabisa