ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Huoni kwamba dada amechukia.Kwamba yeye ndo SI unit, ya watu kufurahia au kukereka?
Mganga ndo alikuja. Pogba kaenda mwaka huu mara ya kwanza Conakry tokea azaliweSidhani......mbona Pogba alikuja kimya kimya kutafuta ndumba ili apone haraka, kurejesha kiwango na amloge Mbape?
Wao kina neema watapigwa show nnzuri tu na idomitable lion we subiriKheee ww Tema mate chini
Wewe kaanze kula kuku.Hii mechi nilitembea na kona over 10.5, naona itajibu kabisa[emoji16].
Are you joking!!??Kwann Morrison hajaitwa kwenye timu ya taifa [emoji41]
Niliweka baada ya kuona kona mbili zimepigwa faster ikaja odds 2.13, lakini pia mwingine nimeomba two goals, naona yatatoka magoli.Wewe kaanze kula kuku.
Mimi nimeweka zipatikane goli 2
Kijana unaijua Brazil vizur subiri Muda ufikeWao kina neema watapigwa show nnzuri tu na idomitable lion we subiri
Kuwa mzalendo kijanaMi uzalendo hapana, mi nataka tufungwe tu
Me nataka magoli mawili tu, sijali nani atafunga.Mi uzalendo hapana, mi nataka tufungwe tu
Yatapatikana tu mechi ya moto sana hiiMe nataka magoli mawili tu, sijali nani atafunga.
Ushinde tukamwagilie moyoo 😂✅Niliweka baada ya kuona kona mbili zimepigwa faster ikaja odds 2.13, lakini pia mwingine nimeomba two goals, naona yatatoka magoli.
Ushindwe weeMi uzalendo hapana, mi nataka tufungwe tu