NdiyoMimi natamani washinde. Brasil wanajidai sana.
Na Neema kaumia,leo mtakoma.Ndiyo
Braz tunaringa π
Unaweza kudaka au ndyo kindoki [emoji23][emoji23]Kipa wa Korea, bora hata wangenichukua mimi. Kina Suarez walishindwa vipi kumfunga?
Mimi nilikuwa nawapigia upato hao Brazil, ila nilipotembea mitaani nikawa naskia kila mtu anasupport Brazil,nikakasirika nikaachana nao nikahamia Uhispania.Mimi natamani washinde. Brasil wanajidai sana.
Hahaha hongera mkuu.Mkeka ushatiki 98,000 mfuko wa shati
Wakishinda mikeka wanasema wakiliwa kimyaaaKhaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mpuuzi mmoja nilimwambia Ghana anafika fainali za world cup. Toka juzi pamoja ya kwamba alifungwa na Ureno.
jamaa alinitukana sana.
Na Neema kaumia,leo mtakoma.
Ndio narudia tena na tena. Tunza kumbukumbuMkuu una uhakika watafika huko?
Nadhani walikuwa sahihi kukutukana, wanaweza kufika mbali ila sio fainali.Kuna mpuuzi mmoja nilimwambia Ghana anafika fainali za world cup. Toka juzi pamoja ya kwamba alifungwa na Ureno.
jamaa alinitukana sana.
Mimi pia nina chuki na hawa watu alafu world cup ukiisha tu umeme masaa 24 [emoji23][emoji23]TANESCO leo wamenikatili sana game kali. Kwa ubaya huu sitakuja kumsahau January Makamba.
Ndio narudia tena na tena. Tunza kumbukumbu
Sawa.Nadhani walikuwa sahihi kukutukana, wanaweza kufika mbali ila sio fainali.
Kudus ni habari nyingine hiyoKuna mwamba hapo juu alikuwa anauliza habari za huyu Kudus
Utakufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilikuwa nawapigia upato hao Brazil, ila nilipotembea mitaani nikawa naskia kila mtu anasupport Brazil,nikakasirika nikaachana nao nikahamia Uhispania.
Unanipangia cha kupost? Ignore/blockTukusaidieje uzi wa mikeka si upo huko