Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Yaani akina ahjussi wamelegea kama kimchi zao😂😂😂😂😂
Aiseeh hawa wazee wa Family dram ujue siwalewi kabisa[emoji23].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeh hawa wazee wa Family dram ujue siwalewi kabisa[emoji23].
Unataka history mkuu tutakesha hapaThey received a hefty 7 from the German Machines in 2014, who doesn't know this[emoji23]
Tajiri Naungana na ww kwenye hili Argentina nataka atokeNgoja tuone Ila mm akitoka Argentina furaha yangu tosha kbsa hapa bado Nina majonzi kwann bado wapo huku Qatar
Utufundshe na sie kubet sio kila sku wala peke akoMkeka ushatiki 98,000 mfuko wa shati
Wamelewa sojuAkina kang chi mbona hivyo jamaniiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii Brazil yenu haitafika mbaliUnataka history mkuu tutakesha hapa
Ukitaka kuanza huo ujasiriamali lazima ujiandae kisaikolojia 😁Utufundshe na sie kubet sio kila sku wala peke ako
Brazil hata team B sisi tunapeta tu
Neymar ni mtu mdogo sana pale Brazil, ziko talents za kufa mtu
Hii siyo Brazil yakina jo,Oscar,hulkHii Brazil yenu haitafika mbali
Yani Brazil isipokuwepo kwenye kombe la dunia michuano huwa haifanyiki [emoji41][emoji41]
Mkitwaa hili uniite mbwa nimekaa pale.Hii siyo Brazil yakina jo,Oscar,hulk
Hii Brazil ya moto tumekuja kubeba kombe letu [emoji91][emoji91][emoji91]
Sio vizuri ulivyomjibu.Tukusaidieje uzi wa mikeka si upo huko
Haitakuja kutokea Brazil kukosa kushiriki kombe la duniaNakuahidi ipo siku watakosekana na kombe litachezwa na litanoga Sana.
Na Korea hii ama Kuna nyingine mkuu?Hii mechi Korea Ghana inaisha sare