Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kwahyo umeamua kushabikia Qatar au unashabikia Canada mkuuI'm unique in nature, siwezi kubali kujazana na wenzangu kwenye timu Moja as if hyo ndo timing pekee ya kushabikia.
Watu wa kufungwa mabao 7 nao Ni wakuwashabikia🙄Utakufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Brazil timu la dunia kama maji tu vile usipoyaoga utayanywa [emoji41]
Brazil hata team B sisi tunapeta tuNa Neema kaumia,leo mtakoma.
Kwahyo umeamua kushabikia Qatar au unashabikia Canada mkuu
Aiseeh hawa wazee wa Family dram ujue siwalewi kabisa[emoji23].Akina kang chi mbona hivyo jamaniiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una leta history tena mkuuWatu wa kufungwa mabao 7 nao Ni wakuwashabikia[emoji849]
Hata Tunisia!Mara paap timu zote za Afrika zimeingia mtoano
Ngoja tuone Ila mm akitoka Argentina furaha yangu tosha kbsa hapa bado Nina majonzi kwann bado wapo huku QatarMm nipo Spain mkuu,wale vijana wananifurahisha Sana.
Hoja yako ya msingi uko unique na hupendi kujazana kwenye timu moja,Mm nipo Spain mkuu,wale vijana wananifurahisha Sana.
Una leta history tena mkuu
Kina oppa leo watakufa nyingi tuAkina kang chi mbona hivyo jamaniiii😂😂😂😂
Ghana 2 South Korea 0Mwenye goli naomba alipost
Ambao hatuna umeme tuambulie hata kuona goli
Pimbi huyo... Nidhamu lazima iwepo, ukubwa wwa mchezaji unaendana na nidhamu.Alimkosoa kocha wake
Unakuta mtoto wa miaka kumi anakwambia eti yeye Ni shabiki Lia lia wa Brazil, Yaani mpaka makinda yanashabikia Samba BoysHoja yako ya msingi uko unique na hupendi kujazana kwenye timu moja,
Hata huko Spain mmejazana
Hamia Costa Rica au Qatar
Michezaji isiyo na nidhamu siipendi, ndio waharibifu kuliko kujenga.Cameroon keeper André Onana has been removed from their squad before they play Serbia today because of disciplinary reasons, according to multiple reports
Mkuu usifanye hivyo ,wengine tumebet Gg (Both team to score)Ghana 2 South Korea 0