SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 968
- 1,022
Safii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghana ndio wanaenda kupoteza hivyo Kim Ming yuko moto sanaGhana wakipoteza hili game ni uzembe wao wenyewe
Sijaipa Ghana..nimemjibu mdau alikua anabisha hii game Ghana hashindi.Umeipa Ghana uka-stake 100k? Subiri Song Jung Hung akuonyeshe
HV wee ndio unesema una 98000 mfuko wa shati pole mkuuKweli muafrica hafai kuwekewa dhamana nyoko zenu
duuh inaisha droo hii, wapambane sanaaaaWasharuhusu
Kwamba nikupige Mb.upu binukaWeww Ni boyaaa tu nimekuongezeee mkuu[emoji41][emoji41][emoji533]
Shikamooo kakaBado unabisha kijana? Wait and see..droo au kufungwa kabisa. I staked 100k for this..did my Maths analysis
Hakuna draw hapo kuna mtu anaenda kufa leo hapo uwanjani tushaanza kuchonga jeneza mda huu watu wanachimba kaburi tayari uko maeneoduuh inaisha droo hii, wapambane sanaaaa
Exactly bibie uko na record sahih SanaHawa Korea wananikumbusha walivyomtoa Germany 2018,wakamwekea kunguni kuingia mtoano.Akaishia makundi.
Wametumia dharau za GhanaHawa Korea wananikumbusha walivyomtoa Germany 2018,wakamwekea kunguni kuingia mtoano.Akaishia makundi.
Wao wenyewe hawajielewi.Ghana siwaelewi kwakweli
Hapana sio mimiHV wee ndio unesema una 98000 mfuko wa shati pole mkuu
Ilishawahi kutokea?Yani Brazil isipokuwepo kwenye kombe la dunia michuano huwa haifanyiki [emoji41][emoji41]
Ah we mwanasimba mwenzangu ningeitikia angekua utopolo 😂😂😂Shikamooo kaka
Nimekosa mechi 2 nzuri leoHili mama lenu limekata umeme