Noma sanaHata kwenye muvi zao wanaigiza kama kweli kwa uchungu wote..
Maana yake haruhusiwi kuingia uwanjani au?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kocha kapewa red card
Kweli kabisa mzee JumongHata kwenye muvi zao wanaigiza kama kweli kwa uchungu wote..
Duh we jichawiHakuna goli hapo Ghana kashinda
DaahHuyu refa atembee na ulinzi mana anaeza viziwa na korea akapigwa nagasaki na hiroshima za kushato[emoji38][emoji38][emoji38]
Lkn refa alizingua angeachia Kona yetu bhan[emoji23]Kocha wa Korea amewafokea Marefa hapa[emoji3][emoji3][emoji3]
Kocha au refa? Acha izoRefa kala nyekundu
Very Patriotic asee Yan inawauma kinoma...walikua wanajua hii ndo game ya wao pia kupata point 3.Sema Korea wanauchungu sana na nchi yao.
πππ Hatari sana mkuu,
refa tena apewe nyekundu nanani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Refa kala nyekundu
Refa kala nyekundu unazingua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Refa kala nyekundu
Exactly kocha...tushavurugwaKocha au refa? Acha izo
Ndiyo. Mechi ijayo haruhusiwi kukaa kwenye benchi la ufundi. Anaweza kukaa kama mtazamaji tu. Na kama angeonyeshwa mechi ya mwisho adhabu inawekwa kiporo mpaka itakapotokea tena mashindano ya FIFA anatumikia adhabu yake.Maana yake haruhusiwi kuingia uwanjani au?